Kutoka 37:25 BHN

25 Alitengeneza madhabahu ya kufukizia ubani kwa mbao za mjohoro. Madhabahu hiyo ilikuwa ya mraba, sentimita 45 kwa sentimita 45, na kimo chake sentimita 90. Pembe za madhabahu hiyo zilikuwa kitu kimoja na madhabahu yenyewe.

Kusoma sura kamili Kutoka 37

Mtazamo Kutoka 37:25 katika mazingira