Kutoka 37:26 BHN

26 Yote aliipaka dhahabu safi: Upande wake wa juu, pande zake za ubavuni na pembe zake; pia aliitengenezea ukingo wa dhahabu.

Kusoma sura kamili Kutoka 37

Mtazamo Kutoka 37:26 katika mazingira