1 Alitengeneza madhabahu kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa. Madhabahu hiyo ilikuwa ya mraba, mita mbili na robo kwa mita 2.25, na kimo chake mita 1.25.
Kusoma sura kamili Kutoka 38
Mtazamo Kutoka 38:1 katika mazingira