Kutoka 38:2 BHN

2 Katika kila pembe ya madhabahu hiyo alitengeneza upembe uliokuwa umeundwa kutokana na madhabahu yenyewe. Madhabahu hiyo yote aliipaka shaba.

Kusoma sura kamili Kutoka 38

Mtazamo Kutoka 38:2 katika mazingira