3 Alitengeneza pia vyombo vyote kwa ajili ya madhabahu: Vyungu, sepetu, mabirika, nyuma na visahani vya kuchukulia moto. Vyombo vyake vyote alivitengeneza kwa shaba.
Kusoma sura kamili Kutoka 38
Mtazamo Kutoka 38:3 katika mazingira