Kutoka 38:11 BHN

11 Upande wa kaskazini urefu wa chandarua ulikuwa mita 44, na nguzo zake 20 za shaba, lakini kulabu za nguzo hizo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.

Kusoma sura kamili Kutoka 38

Mtazamo Kutoka 38:11 katika mazingira