Kutoka 38:12 BHN

12 Upande wa magharibi ulikuwa na chandarua chenye urefu wa mita 22, nguzo zake 10 na vikalio vyake 10. Kulabu za nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.

Kusoma sura kamili Kutoka 38

Mtazamo Kutoka 38:12 katika mazingira