Kutoka 38:18 BHN

18 Pazia la mlango wa ua lilitengenezwa kwa sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kitani safi iliyosokotwa, na kutariziwa vizuri; nalo lilikuwa na urefu wa mita 9 na kimo cha mita 2, kulingana na vyandarua vya ua.

Kusoma sura kamili Kutoka 38

Mtazamo Kutoka 38:18 katika mazingira