Kutoka 38:19 BHN

19 Pia nguzo zake zilikuwa nne na vikalio vinne vya shaba. Kulabu zake zilikuwa za fedha, hata nguzo zake na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.

Kusoma sura kamili Kutoka 38

Mtazamo Kutoka 38:19 katika mazingira