Kutoka 38:7 BHN

7 Aliitia ile mipiko katika zile pete zilizokuwa kando ya madhabahu ili kuibebea. Madhabahu hiyo iliyotengenezwa kwa mbao ilikuwa na mvungu ndani.

Kusoma sura kamili Kutoka 38

Mtazamo Kutoka 38:7 katika mazingira