8 Kisha alitengeneza birika la shaba na tako lake la shaba; birika hilo lilitengenezwa kwa kutumia vioo vya shaba vya wanawake waliohudumu penye lango la hema la mkutano.
Kusoma sura kamili Kutoka 38
Mtazamo Kutoka 38:8 katika mazingira