Kutoka 39:41 BHN

41 na mavazi yote yaliyofumwa vizuri kabisa kwa ajili ya huduma ya mahali patakatifu, yaani mavazi matakatifu ya kuhani Aroni, na ya wanawe kwa ajili ya huduma ya ukuhani.

Kusoma sura kamili Kutoka 39

Mtazamo Kutoka 39:41 katika mazingira