Kutoka 39:6 BHN

6 Kisha waliandaa vito vya sardoniki na kuvipanga katika vijalizo vya dhahabu; navyo vilichorwa, kama mtu achoravyo mhuri, majina kumi na mawili ya wana wa Israeli.

Kusoma sura kamili Kutoka 39

Mtazamo Kutoka 39:6 katika mazingira