Kutoka 39:7 BHN

7 Waliviweka vito hivyo katika kanda za mabegani za kile kizibao ili kuwakilisha makabila kumi na mawili ya Israeli, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Kusoma sura kamili Kutoka 39

Mtazamo Kutoka 39:7 katika mazingira