Kutoka 5:2 BHN

2 Lakini Farao akawauliza, “Ni nani huyo Mwenyezi-Mungu, hata nimsikilize na kuwaacha Waisraeli waondoke? Mimi simtambui huyo Mwenyezi-Mungu, wala sitawaruhusu Waisraeli waondoke.”

Kusoma sura kamili Kutoka 5

Mtazamo Kutoka 5:2 katika mazingira