Kutoka 5:3 BHN

3 Mose na Aroni wakamwambia, “Mungu wa Waebrania amekutana nasi. Tunakusihi utuache twende zetu jangwani mwendo wa siku tatu tukamtambikie Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu. La sivyo, yeye atatuua kwa maradhi mabaya au vita.”

Kusoma sura kamili Kutoka 5

Mtazamo Kutoka 5:3 katika mazingira