10 Basi, Mose na Aroni wakamwendea Farao na kufanya kama walivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Aroni aliitupa fimbo yake chini mbele ya Farao na maofisa wake, nayo ikawa nyoka.
Kusoma sura kamili Kutoka 7
Mtazamo Kutoka 7:10 katika mazingira