9 “Farao atakapowaambieni mthibitishe jambo hilo kwa kutenda miujiza, wewe utamwambia Aroni aichukue fimbo yake, aitupe mbele ya Farao, nayo itakuwa nyoka.”
Kusoma sura kamili Kutoka 7
Mtazamo Kutoka 7:9 katika mazingira