Kutoka 7:15 BHN

15 Basi, nenda ukakutane naye kesho asubuhi, wakati anapokwenda mtoni Nili. Mngojee kando ya mto. Chukua mkononi mwako ile fimbo iliyogeuka kuwa nyoka.

Kusoma sura kamili Kutoka 7

Mtazamo Kutoka 7:15 katika mazingira