Kutoka 7:16 BHN

16 Kisha mwambie hivi, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Waebrania, amenituma kwako, naye asema hivi, ‘Waache watu wangu waende zao ili wanitumikie jangwani, lakini mpaka sasa wewe hupendi kutii.

Kusoma sura kamili Kutoka 7

Mtazamo Kutoka 7:16 katika mazingira