17 Basi, Mwenyezi-Mungu asema kwamba sasa utamtambua yeye ni nani. Nitayapiga maji ya mto Nili kwa fimbo hii, na maji yote yatageuka kuwa damu.
Kusoma sura kamili Kutoka 7
Mtazamo Kutoka 7:17 katika mazingira