Kutoka 8:10 BHN

10 Farao akamwambia, “Kesho.” Mose akasema, “Nitafanya kama unavyosema, ili ujue kwamba hakuna yeyote anayelingana na Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Kutoka 8

Mtazamo Kutoka 8:10 katika mazingira