Kutoka 8:9 BHN

9 Mose akamjibu Farao, “Haya! Waweza kutaja wakati unaotaka nikuombee kwa Mungu, niwaombee maofisa wako na watu wako; nitamwomba awaangamize vyura hawa waliomo katika nyumba zenu; watabaki tu mtoni Nili!”

Kusoma sura kamili Kutoka 8

Mtazamo Kutoka 8:9 katika mazingira