Kutoka 8:8 BHN

8 Kisha Farao akamwita Mose na Aroni, akamwambia, “Msihi Mwenyezi-Mungu, ili aniondolee mimi na watu wangu vyura hawa, nami nitawaacha Waisraeli waende zao na kumtambikia Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Kutoka 8

Mtazamo Kutoka 8:8 katika mazingira