Kutoka 8:17 BHN

17 Mose na Aroni wakafanya hivyo. Aroni alinyosha fimbo yake na kuyapiga mavumbi, nayo yakageuka kuwa viroboto na kuwaparamia watu na wanyama. Mavumbi yote nchini kote Misri yakageuka kuwa viroboto.

Kusoma sura kamili Kutoka 8

Mtazamo Kutoka 8:17 katika mazingira