18 Wachawi wa Misri, kwa uchawi wao, wakajaribu kuyageuza mavumbi yawe viroboto, lakini hawakufaulu. Viroboto hao wakaenea juu ya watu na wanyama.
Kusoma sura kamili Kutoka 8
Mtazamo Kutoka 8:18 katika mazingira