22 Lakini siku hiyo sehemu ya Gosheni wanakoishi watu wangu nitaikinga: Humo nzi hao hawatakuwamo. Hapo ndipo utakapotambua kwamba mimi Mwenyezi-Mungu natenda mambo nchini mwako.
Kusoma sura kamili Kutoka 8
Mtazamo Kutoka 8:22 katika mazingira