Kutoka 8:21 BHN

21 Kama ukikataa kuwaacha waondoke, basi, nitakuletea makundi ya nzi, wewe, maofisa wako na watu wako wote. Wataingia kwenye nyumba zenu na nyumba zote za Wamisri zitajaa makundi ya nzi, kadhalika na ardhi yote ya Misri.

Kusoma sura kamili Kutoka 8

Mtazamo Kutoka 8:21 katika mazingira