Kutoka 8:20 BHN

20 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kesho amka asubuhi mapema umwendee Farao wakati anapokwenda mtoni umwambie, ‘Mwenyezi-Mungu asema hivi: Waache watu wangu waondoke ili wanitumikie.

Kusoma sura kamili Kutoka 8

Mtazamo Kutoka 8:20 katika mazingira