Kutoka 8:24 BHN

24 Mwenyezi-Mungu akafanya kama alivyosema: Makundi makubwa ya nzi yakaivamia nyumba ya Farao, nyumba za maofisa wake na nchi nzima ya Misri. Nchi nzima ya Misri ikaharibiwa na nzi hao.

Kusoma sura kamili Kutoka 8

Mtazamo Kutoka 8:24 katika mazingira