Kutoka 8:25 BHN

25 Ndipo Farao akawaita Mose na Aroni, akasema, “Mnaweza kwenda kumtambikia Mungu wenu, lakini iwe humuhumu nchini Misri.”

Kusoma sura kamili Kutoka 8

Mtazamo Kutoka 8:25 katika mazingira