Kutoka 8:26 BHN

26 Lakini Mose akamjibu, “La! Haifai kufanya hivyo, maana tambiko tutakazomtolea Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, zitawachukiza Wamisri. Je, Wamisri wakituona tukitoa tambiko ambazo ni chukizo kwao, si watatupiga mawe?

Kusoma sura kamili Kutoka 8

Mtazamo Kutoka 8:26 katika mazingira