Kutoka 9:13 BHN

13 Kisha, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kesho, amka alfajiri na mapema umwendee Farao, umwambie kwamba mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Waebrania, nasema hivi, ‘Waache watu wangu waondoke ili wakanitumikie.

Kusoma sura kamili Kutoka 9

Mtazamo Kutoka 9:13 katika mazingira