14 Maana safari hii, wewe mwenyewe, maofisa wako na watu wako mtakumbana na mapigo yangu makali. Nawe utatambua kwamba hakuna yeyote duniani aliye kama mimi.
Kusoma sura kamili Kutoka 9
Mtazamo Kutoka 9:14 katika mazingira