Kutoka 9:19 BHN

19 Kwa hiyo agiza mifugo yako na chochote kilicho huko mashambani viwekwe mahali salama; kwa maana mvua ya mawe itamnyeshea kila mtu na mnyama aliye shambani na ambaye hayuko nyumbani; wote watakufa.’”

Kusoma sura kamili Kutoka 9

Mtazamo Kutoka 9:19 katika mazingira