Kutoka 9:20 BHN

20 Baadhi ya maofisa wa Farao waliyatia maanani maneno hayo ya Mwenyezi-Mungu, wakawapeleka watumwa na wanyama wao nyumbani mahali pa usalama.

Kusoma sura kamili Kutoka 9

Mtazamo Kutoka 9:20 katika mazingira