Kutoka 9:33 BHN

33 Basi, Mose akaondoka nyumbani kwa Farao, akatoka nje ya mji. Kisha akainua mikono yake kumwomba Mwenyezi-Mungu. Ngurumo na mvua ya mawe vikakoma; mvua ikaacha kunyesha duniani.

Kusoma sura kamili Kutoka 9

Mtazamo Kutoka 9:33 katika mazingira