Kutoka 9:34 BHN

34 Lakini Farao alipoona kuwa mvua ya mawe na ngurumo vimekoma, aliirudia dhambi yake tena, akawa mkaidi, yeye pamoja na maofisa wake.

Kusoma sura kamili Kutoka 9

Mtazamo Kutoka 9:34 katika mazingira