Mwanzo 1:12 BHN

12 Basi, nchi ikaotesha mimea izaayo mbegu kwa jinsi yake, na miti izaayo matunda yenye mbegu kwa jinsi yake. Mungu akaona kuwa ni vyema.

Kusoma sura kamili Mwanzo 1

Mtazamo Mwanzo 1:12 katika mazingira