16 Basi, Mungu akafanya mianga miwili mikubwa; ule mkubwa utawale mchana na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia.
Kusoma sura kamili Mwanzo 1
Mtazamo Mwanzo 1:16 katika mazingira