Mwanzo 1:21 BHN

21 Basi, Mungu akaumba wanyama wakubwa sana wa baharini na aina zote za viumbe vyote hai viendavyo na kujaa majini; akaumba na aina zote za ndege wote. Mungu akaona kuwa ni vyema.

Kusoma sura kamili Mwanzo 1

Mtazamo Mwanzo 1:21 katika mazingira