Mwanzo 1:24 BHN

24 Mungu akasema, “Nchi na itoe aina zote za viumbe hai, wanyama wa kufugwa, viumbe vitambaavyo na wanyama wa porini wa kila aina.” Ikawa hivyo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 1

Mtazamo Mwanzo 1:24 katika mazingira