26 Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; atawale samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kufugwa, dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo.”
Kusoma sura kamili Mwanzo 1
Mtazamo Mwanzo 1:26 katika mazingira