23 Watoto wa kiume wa Aramu walikuwa Usi, Huli, Getheri na Mashi.
24 Arfaksadi alimzaa Shela, Shela akamzaa Eberi.
25 Eberi alikuwa na watoto wa kiume wawili; wa kwanza akamwita Pelegi kwa sababu wakati huo watu duniani waligawanyika, na wa pili akamwita Yoktani.
26 Yoktani alikuwa baba wa Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera,
27 Hadoramu, Uzali, Dikla,
28 Obali, Abimaeli, Sheba,
29 Ofiri, Hawila na Yobabu. Hao wote walikuwa watoto wa Yoktani.