Mwanzo 11:17 BHN

17 Baada ya kumzaa Pelegi, Eberi aliishi miaka 430 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.

Kusoma sura kamili Mwanzo 11

Mtazamo Mwanzo 11:17 katika mazingira