Mwanzo 11:29 BHN

29 Abramu na Nahori walioa. Mke wa Abramu aliitwa Sarai. Mke wa Nahori aliitwa Milka, binti Harani ambaye pia alikuwa baba yake Iska.

Kusoma sura kamili Mwanzo 11

Mtazamo Mwanzo 11:29 katika mazingira