Mwanzo 11:31 BHN

31 Tera akamchukua Abramu mwanawe, Loti mjukuu wake aliyekuwa mwanawe Harani, na Sarai mkewe Abramu, wakaondoka wote pamoja toka Uri, mji wa Wakaldayo, wakaenda katika nchi ya Kanaani. Lakini walipofika Harani, wakakaa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 11

Mtazamo Mwanzo 11:31 katika mazingira