6 Mwenyezi-Mungu akasema, “Tazama, watu hawa ni taifa moja na wote wana lugha moja; huu ni mwanzo tu wa yale watakayoyafanya. Lolote wanalokusudia kulifanya watafanikiwa.
Kusoma sura kamili Mwanzo 11
Mtazamo Mwanzo 11:6 katika mazingira