Mwanzo 12:1 BHN

1 Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Ondoka katika nchi yako, acha jamaa yako na nyumba ya baba yako, uende katika nchi nitakayokuonesha.

Kusoma sura kamili Mwanzo 12

Mtazamo Mwanzo 12:1 katika mazingira