Mwanzo 12:16 BHN

16 Basi, kwa ajili yake, Farao alimfadhili Abramu, akampa kondoo, ng'ombe, punda dume, watumishi wa kiume na wa kike, punda jike na ngamia.

Kusoma sura kamili Mwanzo 12

Mtazamo Mwanzo 12:16 katika mazingira